R.I.P JULIUS NYAISANGA

Kaimu Meneja wa Abood Media Abeid Dogoli ameithibitishia millardayo.com kwamba ni kweli mtangazaji wa siku nyingi Tanzania Julius Nyaisanga amefariki dunia leo asubuhi.

Amesema Nyaisanga alipelekwa hospitali ya Mazimbu Morogoro jana saa nane mchana kutokana na kusumbuliwa na Kisukari pamoja na presha ambapo asubuhi ya leo October 20 2013 ndio akafariki dunia akiwa na umri wa miaka 53

Mara yake ya mwisho kuingia ofisini ilikua juzi japo alikua ameanza likizo toka October 12 ambapo huu ulikua ni mwaka wake wa tatu toka ameanza kufanya kazi na Abood Media ya Morogoro kama Meneja wa kituo.

Taarifa nyingine kuhusu msiba wake utaendelea kuzipata hapa hapa DB

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s